sw_tn/1ki/02/32.md

20 lines
579 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Mfalme Sulemani anaeleza sababu ya Yoabu kuuawa
# BWANA na amrudishie damu yake kichwani mwake
"Neno "mwake" linamaanisha Yoabu. "Damu" linamaanisha hatia.
# wasio na hatia na wema kuliko yeye
Maneno haya mawili yanamaanisha kitu kilekile na yanatia msisitizo kuwa Abineri na Amasa walikuwa wanaume wema kuliko Yoabu.
# Yoabu kichwani pake na kwenye kichwa cha uzao wake
Neno "kichwa " linatumika kumaanisha mtu kamili
# na nyumba yak,e na kwenye kiti chake cha enzi
Neno "nyumba" na "kiti cha enzi" linamaanisha uzao wa Daudi na utawala wa Daudi."