# Taarifa kwa ujumla Mfalme Sulemani anaeleza sababu ya Yoabu kuuawa # BWANA na amrudishie damu yake kichwani mwake "Neno "mwake" linamaanisha Yoabu. "Damu" linamaanisha hatia. # wasio na hatia na wema kuliko yeye Maneno haya mawili yanamaanisha kitu kilekile na yanatia msisitizo kuwa Abineri na Amasa walikuwa wanaume wema kuliko Yoabu. # Yoabu kichwani pake na kwenye kichwa cha uzao wake Neno "kichwa " linatumika kumaanisha mtu kamili # na nyumba yak,e na kwenye kiti chake cha enzi Neno "nyumba" na "kiti cha enzi" linamaanisha uzao wa Daudi na utawala wa Daudi."