sw_tn/1ki/02/28.md

12 lines
259 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Mfalme Sulemani anamwagiza Benaya kumwusa Yoabu
# Habari hizo zikamfikia Yoabu
"Yaabu akasikia kile ambacho Sulemani alifanya baada ya kuwa mfalme"
# pembe za madhabahuni
pembe za madhabahuni zinamaanisha mamlaka ya BWANA na ulinzi.