# Taarifa kwa ujumla Mfalme Sulemani anamwagiza Benaya kumwusa Yoabu # Habari hizo zikamfikia Yoabu "Yaabu akasikia kile ambacho Sulemani alifanya baada ya kuwa mfalme" # pembe za madhabahuni pembe za madhabahuni zinamaanisha mamlaka ya BWANA na ulinzi.