sw_tn/1ki/02/26.md

16 lines
344 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Abiatahari amefukuzwsa kwenye ukuhani na mfalme Sulemani.
# na kujitaabisha kwa namna mbalimbali kama baba yangu alivyopata tabu
Abiathari alijitabisha pamoja na mfalme Daudi kabla Daudi hajawa mfalme.
# ili kwamba atimilize
Neno "a" linamwakilisha mfalme Sulemani
# alivyokuwa amesema
neno "a" linamwakilisha BWANA