# Taarifa kwa ujumla Abiatahari amefukuzwsa kwenye ukuhani na mfalme Sulemani. # na kujitaabisha kwa namna mbalimbali kama baba yangu alivyopata tabu Abiathari alijitabisha pamoja na mfalme Daudi kabla Daudi hajawa mfalme. # ili kwamba atimilize Neno "a" linamwakilisha mfalme Sulemani # alivyokuwa amesema neno "a" linamwakilisha BWANA