sw_tn/1ki/02/24.md

12 lines
334 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Mfalme Sulemani anamwua Adoniya
# na kunipa kiti cha enzi
"Neno "kiti cha enzi" linamaanisha mamlaka ya Sulemani ya muwa mtawala kama alivyokuwa amepewa na BWANA.
# ambaye amenifanyia nyumba
Neno "nyumba" linamaanisha uzao ambao Mungu alikuwa amempa mfalme Sulemani, ambao utaendelea kutawala baada ya Yake.