# Taarifa kwa ujumla Mfalme Sulemani anamwua Adoniya # na kunipa kiti cha enzi "Neno "kiti cha enzi" linamaanisha mamlaka ya Sulemani ya muwa mtawala kama alivyokuwa amepewa na BWANA. # ambaye amenifanyia nyumba Neno "nyumba" linamaanisha uzao ambao Mungu alikuwa amempa mfalme Sulemani, ambao utaendelea kutawala baada ya Yake.