sw_tn/1ki/01/28.md

20 lines
376 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Mfalme Daudi anamwahidi Bathisheba
# akaja akasimama mbele ya mfalme
"akaja mbele ya mfalme" au "akarudi kwa mfalme"
# akafanya kiapo
"akafanya ahadi "
# atakayeketi kwenye kiti changu cha enzi
Tazama 1:13
# Bwana wangu mfalme Daudi na aishi milele
Bathisheba alijua kuwa Daudi hataishi milele, hii ni namna ya kusema kuwa Daudi ni mfalme mwema.