# Taarifa kwa ujumla Mfalme Daudi anamwahidi Bathisheba # akaja akasimama mbele ya mfalme "akaja mbele ya mfalme" au "akarudi kwa mfalme" # akafanya kiapo "akafanya ahadi " # atakayeketi kwenye kiti changu cha enzi Tazama 1:13 # Bwana wangu mfalme Daudi na aishi milele Bathisheba alijua kuwa Daudi hataishi milele, hii ni namna ya kusema kuwa Daudi ni mfalme mwema.