forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
390 B
Markdown
28 lines
390 B
Markdown
# chumbani kwa mfalme
|
|
|
|
"chumba ambacho mfalme alilala"
|
|
|
|
# Abishagi Mshunami
|
|
|
|
Tazama 1:3
|
|
|
|
# akainama kifudifudi mbele ya mfalme
|
|
|
|
"akainama kuikaribia sakafu mbele ya mfalme"
|
|
|
|
# una haja gani?
|
|
|
|
"unataka nikufanyie ini?"
|
|
|
|
# ulimwapia mtumishi wako
|
|
|
|
Kiwakilishi cha "u" ni kinasisitiza kuwa "wewe mwenyewe uliapa"
|
|
|
|
# mtumishi wako
|
|
|
|
Tazama 1:3
|
|
|
|
# ataketi kwenye kiti changu cha enzi
|
|
|
|
Tazama 1:3
|