# chumbani kwa mfalme "chumba ambacho mfalme alilala" # Abishagi Mshunami Tazama 1:3 # akainama kifudifudi mbele ya mfalme "akainama kuikaribia sakafu mbele ya mfalme" # una haja gani? "unataka nikufanyie ini?" # ulimwapia mtumishi wako Kiwakilishi cha "u" ni kinasisitiza kuwa "wewe mwenyewe uliapa" # mtumishi wako Tazama 1:3 # ataketi kwenye kiti changu cha enzi Tazama 1:3