sw_tn/1jn/05/11.md

20 lines
554 B
Markdown

# Na ushuhuda ndio huu
"Hivi ndivyo Mungu anavyosema"
# uzima
Hapa "uzima" husimama badala ya haki ya kuishi milele kwa neema na upendo wa Mungu. Tazama 1:1
# uzima huu umo ndani ya Mwanawe.
uzima huu ni kwa njia ya Mwanawe, "Tutaishi milele kama tutaungana na Mwanawe" au "tutaishi milele kama tutakuwa na muungano na Mwanawe"
# Mwana
Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.
# Aliye naye Mwana ana uzima
Kuwa katika uhusiano wa karibu na Yesu kunazungumzia ni kama kuwa na Mwana. "Yeye aaminiye katka Mwana wa Mungu anao uzima wa milele"