# Na ushuhuda ndio huu "Hivi ndivyo Mungu anavyosema" # uzima Hapa "uzima" husimama badala ya haki ya kuishi milele kwa neema na upendo wa Mungu. Tazama 1:1 # uzima huu umo ndani ya Mwanawe. uzima huu ni kwa njia ya Mwanawe, "Tutaishi milele kama tutaungana na Mwanawe" au "tutaishi milele kama tutakuwa na muungano na Mwanawe" # Mwana Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu. # Aliye naye Mwana ana uzima Kuwa katika uhusiano wa karibu na Yesu kunazungumzia ni kama kuwa na Mwana. "Yeye aaminiye katka Mwana wa Mungu anao uzima wa milele"