sw_tn/1jn/05/04.md

28 lines
832 B
Markdown

# kila aliyezaliwa na Mungu
"watoto wote wa Mungu"
# huushinda ulimwengu
"wanaushindi juu ya ulimwengu," "hufaulu dhidi ya ulimwengu," au "hukataa kufanya mambo maovu wayafanyayo wasioamini"
# Na huu ndio ushindi wa kuushinda ulimwengu: imani yetu
"Imani yetu hupatia nguvu ya kuzuia lolote ambalo lingetutia katika ktenda dhambi dhidi ya Mungu"
# Ni nani anayeushinda ulimwengu?
Yohana alitumia swali hili kutambulisha jambo fulani alilotaka kufundisha. "Nitaambia anayeshinda ulimwengu"
# ulimwengu
ujumbe huu "ulimwengu? kwa kumaanisha watu wote wenye dhambi na mfumo mwovu wa ulimwengu"
# Ni yule aaminiye kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.
Hili halimaanishi mtu maalum bali kwa yeyote anayeamini kwamba Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu.
# Mwana wa Mungu
hiki ni cheo muhimu kwa Yesu kinachoelezea uhusiano wake kwa Mungu