sw_tn/1jn/04/04.md

32 lines
839 B
Markdown

# watoto wapendwa
Yohana alikuwa mzee tena kiongozi wao. Alitumia maelezo haya kuonyesha pendo lake kwao. "watoto wangu wapendwa katika Kristo" au "ninyi mlio kama watoto wangu mwenyewe ninaowapenda." Tazama 2:1lilivyofafanuliwa
# mmekwisha washinda
"hamjawaamini waalimu wa uongo"
# yeye aliye ndani yenu
"Mungu aliyemo ndani yenu"
# yeye aliye katika ulimwengu
Uwezekano wa maana mbili ni 1) "wale waalimu wa kidunia" au 2) "Shetani aliyeko ulimwenguni
# ulimwengu
Jina "ulimwengu" humaanisha watu wot wasiomtii Mungu pia humaanisha mfumo uovu ukaao katika ulimwengu wa dhambi
# Wao ni wa ulimwengu,
"Wale waalimu wa uongo ni watu wasiomtii Mungu"
# kwa hiyo wanachokisema ni cha ulimwengu,
"kwa hiyo hufundisha mawazo yaliyokinye na Mungu"
# na ulimwengu huwasikiliza wao.
kwa hiyo watu wasiomtii Mungu huwasikiliza wao"