# watoto wapendwa Yohana alikuwa mzee tena kiongozi wao. Alitumia maelezo haya kuonyesha pendo lake kwao. "watoto wangu wapendwa katika Kristo" au "ninyi mlio kama watoto wangu mwenyewe ninaowapenda." Tazama 2:1lilivyofafanuliwa # mmekwisha washinda "hamjawaamini waalimu wa uongo" # yeye aliye ndani yenu "Mungu aliyemo ndani yenu" # yeye aliye katika ulimwengu Uwezekano wa maana mbili ni 1) "wale waalimu wa kidunia" au 2) "Shetani aliyeko ulimwenguni # ulimwengu Jina "ulimwengu" humaanisha watu wot wasiomtii Mungu pia humaanisha mfumo uovu ukaao katika ulimwengu wa dhambi # Wao ni wa ulimwengu, "Wale waalimu wa uongo ni watu wasiomtii Mungu" # kwa hiyo wanachokisema ni cha ulimwengu, "kwa hiyo hufundisha mawazo yaliyokinye na Mungu" # na ulimwengu huwasikiliza wao. kwa hiyo watu wasiomtii Mungu huwasikiliza wao"