sw_tn/1jn/02/20.md

12 lines
569 B
Markdown

# Maelezo ya Julama
Katika Agano La Kale neno kutia "mafuta" lilimaanisha kumimina mafuta juu ya mtu ili kumtenga kwa ajili ya kumtumikia Mungu.
# Lakini mumetiwa mafuta na yule Mtakatifu
"Bali Yule Mtakatifu amewatia mafuta ninyi. Hapa "kutia mafuta" humaanisha kazi ya Yesu kuwapa waaminio Roho Mtakatifu ili kuwatenga kwa ajili ya kumtumikia Mungu. : "Lakini Kristo, aliye Mtakatifu, amwapa ninyi Roho wake Mtakaifu"
# hakuna uongo kwa ile kweli
Hapa tendo la kuema uongo limzungumzwa kana kwamba ni kitu. : "hakuna uongo ujao kutoka kwa Mungu ambaye ni kweli.