# Maelezo ya Julama Katika Agano La Kale neno kutia "mafuta" lilimaanisha kumimina mafuta juu ya mtu ili kumtenga kwa ajili ya kumtumikia Mungu. # Lakini mumetiwa mafuta na yule Mtakatifu "Bali Yule Mtakatifu amewatia mafuta ninyi. Hapa "kutia mafuta" humaanisha kazi ya Yesu kuwapa waaminio Roho Mtakatifu ili kuwatenga kwa ajili ya kumtumikia Mungu. : "Lakini Kristo, aliye Mtakatifu, amwapa ninyi Roho wake Mtakaifu" # hakuna uongo kwa ile kweli Hapa tendo la kuema uongo limzungumzwa kana kwamba ni kitu. : "hakuna uongo ujao kutoka kwa Mungu ambaye ni kweli.