sw_tn/1co/16/17.md

16 lines
438 B
Markdown

# Stefana, Fotunato, na Akiko
Hawa watu pengine walikuwa baadhi ya waumini wa kwanza wa Korintho au wazee wa kanisa ambao waliokuwa watendakazi pamoja na Paulo.
# Stefana, Fotunato, na Akiko
Haya ni majina ya watu
# Wamesimama mahali ambapo ninyi mgepaswa kuwa
" walisababisha mafanikio yawepo japo ninyi hamkuwepo"Paulo alitiwa moyo kwa ujio wao.
# Kwa kuwa wameifurahisha roho yangu
"Paulo alitiwa moyo walipokuja kumtembelea"