# Stefana, Fotunato, na Akiko Hawa watu pengine walikuwa baadhi ya waumini wa kwanza wa Korintho au wazee wa kanisa ambao waliokuwa watendakazi pamoja na Paulo. # Stefana, Fotunato, na Akiko Haya ni majina ya watu # Wamesimama mahali ambapo ninyi mgepaswa kuwa " walisababisha mafanikio yawepo japo ninyi hamkuwepo"Paulo alitiwa moyo kwa ujio wao. # Kwa kuwa wameifurahisha roho yangu "Paulo alitiwa moyo walipokuja kumtembelea"