sw_tn/1co/15/27.md

20 lines
693 B
Markdown

# ameweka kila kitu chini ya miguu yake
Wafalme walioshinda vita waliweza kuweka miguu yao juu ya shingo za adui zao waliowashinda. Kwa maneno mengine hapa inasema " Mungu amewaharibu kabisa maadui wote wa Kristo"
# vitu vyote vimewekwa chini yake
Maneno haya yakisemwa kwa kauli tendaji ni kwamba " Mungu amavitiisha vitu vyote chini ya Kristo"
# mwana mwenyewe atawekwa chini
Maneno haya yakisemwa kwa kauli tendaji ni kwamba " mwana mwenyewe atatiishwa"
# mwana mwenyewe
Katika mistari ya awali neno " mwana" linamaanisha " Kristo" : kwa maneno mengine ni kusema " Kristo ambaye ni Mwana wa Mungu"
# Mwana...Baba
Hivi ni vyeo muhimu vinavyofafanua uhusiano kati ya Yesu na Mungu.