sw_tn/1co/15/03.md

20 lines
412 B
Markdown

# kwa umuhimu
inaweza kumaanisha 1) muhimu zaidi katika mambo mengi au 2) jambo la kwanza kutokea
# kwa ajili ya dhambi zetu
" kulipa kwa ajili ya dhmbi zetu" au " ili Mungu atusamehe dhambi zetu"
# kutokana na maandiko
Paulo ana rejea maandiko ya Agano la Kale.
# alizikwa
Katika hali tendaji unaweza kusema "Walimzika"
# alifufuka
Katika hali tendaji unaweza kusema " Mungu alimfufua" au "alifufuka"