# kwa umuhimu inaweza kumaanisha 1) muhimu zaidi katika mambo mengi au 2) jambo la kwanza kutokea # kwa ajili ya dhambi zetu " kulipa kwa ajili ya dhmbi zetu" au " ili Mungu atusamehe dhambi zetu" # kutokana na maandiko Paulo ana rejea maandiko ya Agano la Kale. # alizikwa Katika hali tendaji unaweza kusema "Walimzika" # alifufuka Katika hali tendaji unaweza kusema " Mungu alimfufua" au "alifufuka"