sw_tn/1co/10/18.md

16 lines
657 B
Markdown

# Wale wote walao dhabihu si washiriki katika madhabahu?
Paulo anawakumbusha Wakorintho jambo wanalolifahamu ili baada ya hapo awape habari mpya. kwa maneno mengine anasema " wale wanaokula sadaka wanashiriki katika shughuli na baraka za madhabahu"
# Nasema nini basi?
Paulo anawakumbusha Wakorintho jambo wanalolifahamu ili baada ya hapo awape habari mpya:- " kwa kufanya marudio ya kile nilichosema" au " Hiki ndicho ninacho maanisha"
# kuwa sanamu ni kitu?
"Tambueni ninachosema kuwa sanamu siyo kitu halisi"
# Au ya kuwa chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu ni kitu?
" Mnafahamu sisemi chakula kilichotelewa sadaka kwa sanamu si kitu muhimu"