# Wale wote walao dhabihu si washiriki katika madhabahu? Paulo anawakumbusha Wakorintho jambo wanalolifahamu ili baada ya hapo awape habari mpya. kwa maneno mengine anasema " wale wanaokula sadaka wanashiriki katika shughuli na baraka za madhabahu" # Nasema nini basi? Paulo anawakumbusha Wakorintho jambo wanalolifahamu ili baada ya hapo awape habari mpya:- " kwa kufanya marudio ya kile nilichosema" au " Hiki ndicho ninacho maanisha" # kuwa sanamu ni kitu? "Tambueni ninachosema kuwa sanamu siyo kitu halisi" # Au ya kuwa chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu ni kitu? " Mnafahamu sisemi chakula kilichotelewa sadaka kwa sanamu si kitu muhimu"