sw_tn/1co/06/12.md

24 lines
588 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anawakumbusha waumini wa Korintho kuwa Mungu anataka wawe watakatifu kwa sababu Kristo aliwanunu kwa kifo chake.
# Kila kitu ni halali kwangu
Mungu ameniruhusu kufanya kila kitu.
# lakini si kila kitu kina faida
Lakini si kila kitu ni kizuri kwangu
# Sitatawaliwa na chochote kati hivyo
Sitaruhusu vitu hivi vinitawale
# "Chakula ni kwa ajili ya tumbo, na tumbo ni kwa chakula," lakini Mungu atavitowesha vyote
""Wengine husema 'chakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa chakula; ' lakini Mungu atavitowesha vyotetumbo na chakula"
# kutowesha
"kuharibu"