# Sentensi Unganishi Paulo anawakumbusha waumini wa Korintho kuwa Mungu anataka wawe watakatifu kwa sababu Kristo aliwanunu kwa kifo chake. # Kila kitu ni halali kwangu Mungu ameniruhusu kufanya kila kitu. # lakini si kila kitu kina faida Lakini si kila kitu ni kizuri kwangu # Sitatawaliwa na chochote kati hivyo Sitaruhusu vitu hivi vinitawale # "Chakula ni kwa ajili ya tumbo, na tumbo ni kwa chakula," lakini Mungu atavitowesha vyote ""Wengine husema 'chakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa chakula; ' lakini Mungu atavitowesha vyotetumbo na chakula" # kutowesha "kuharibu"