sw_tn/1co/01/10.md

28 lines
790 B
Markdown

# sentensi unganishi
Paulo anawakumbusha waumini wa Korintho kwamba wanapaswa kuishi katika umoja na katika ujumbe wa msalaba wa Kristo, siyo ubatizo wa watu unaoleta wokovu.
# kaka na dada zangu
Hii inamaana washirika wote wakristo, ikijumuisha wote wanawake na wanaume.
# kwamba wote mkubali
" kuishi katika hali ya upatanifu na ushirikiano"
# kwamba kusiwe na migawanyiko miongoni mwenu
" kusiwe na migawanyiko ya makundi makundi miongoni mwenu"
# kwamba muungane pamoja katika nia moja na katika kusudi
" muishi katika hali ya umoja"
# watu wa nyumba ya Kloe
Hii inahusu wanafamilia, wafanyakazi, na watu wengine ambao ni sehemu ya kaya ambayo Chloe ni mwanamke kiongozi.
# kuna mgawanyiko unaoendelea miongoni mwenu
" kuna makundi yenye migogoro na kugombana kati yenu"