sw_tn/1ch/26/31.md

24 lines
359 B
Markdown

# Hebroni
Ona jinsi ulivyo tafsiri 23:12
# Yerija
Namna nyingine ya kuandika "Yeria." Ona jinsi ulivyo tafsiri 23:19
# walihesabiwa kutoka orodha
"majina yao yalikuwa kwenye orodha"
# Katika mwaka wa arobaini wa utawala wa Daudi
"Daudi alipo kuwa mfalme kwa miaka 40"
# Yazeri
Hili ni jina la mwanaume.
# ndugu 2,700
"elfu mbili na mia saba ndugu"