# Hebroni Ona jinsi ulivyo tafsiri 23:12 # Yerija Namna nyingine ya kuandika "Yeria." Ona jinsi ulivyo tafsiri 23:19 # walihesabiwa kutoka orodha "majina yao yalikuwa kwenye orodha" # Katika mwaka wa arobaini wa utawala wa Daudi "Daudi alipo kuwa mfalme kwa miaka 40" # Yazeri Hili ni jina la mwanaume. # ndugu 2,700 "elfu mbili na mia saba ndugu"