sw_tn/1ch/21/04.md

8 lines
282 B
Markdown

# Neno la mfalme halikubadilika
Mstari huu wahusu amri ya mfalme Daudi kuwa ya mwisho kwasababu hatabadili amri yake baada ya kuitoa. "amri ya mfalme haitakuja kubadilika"
# wanaume waliobeba upanga
Maaskari wa Israeli walielezewa kwa kitendo cha kuvuta upanga na kupigana nao.