# Neno la mfalme halikubadilika Mstari huu wahusu amri ya mfalme Daudi kuwa ya mwisho kwasababu hatabadili amri yake baada ya kuitoa. "amri ya mfalme haitakuja kubadilika" # wanaume waliobeba upanga Maaskari wa Israeli walielezewa kwa kitendo cha kuvuta upanga na kupigana nao.