sw_tn/1ch/19/01.md

20 lines
443 B
Markdown

# Nahashi ... Hanuni
Haya ni majina ya wanaume.
# Nitaonyesha ukarimu ... alionyesha ukarimu
"Nitakuwa mkarimu ... alikuwa mkarimu"
# kumfariji
"kuliwaza"
# Unadhani Daudi anamheshimu baba yako sababu ametuma watu kukufaraji?
"Usidhani kuwa Daudi ana muheshimu baba yako kwasababu ametuma wanaume kukufariji."
# Je watumishi wake hawajaja kutadhimini nchi iliwaipindue?
"Hakika watumishi wanakuja kwako kudadisi nchi ili waipindue."