sw_tn/1ch/17/11.md

16 lines
387 B
Markdown

# siku zako zitapo timia
Maisha yana tajwa kama idadi kadhaa za siku. "utakapo kufa"
# kwenda kwa baba zako
Haya maneno yaeleza kifo kama sehemu mababu wa Daudi walipo kwasababu wamekufa tayari.
# nitainua uzao wako
Kumueka mtu katika uongozi ya tajwa kama kumuinua juu sana.
# nitaimarisha kiti chake cha enzi
Haki ya kutawala kama mfalme imeelezwa kama sehemu ya mfalme kuishi.