# siku zako zitapo timia Maisha yana tajwa kama idadi kadhaa za siku. "utakapo kufa" # kwenda kwa baba zako Haya maneno yaeleza kifo kama sehemu mababu wa Daudi walipo kwasababu wamekufa tayari. # nitainua uzao wako Kumueka mtu katika uongozi ya tajwa kama kumuinua juu sana. # nitaimarisha kiti chake cha enzi Haki ya kutawala kama mfalme imeelezwa kama sehemu ya mfalme kuishi.