sw_tn/1ch/17/03.md

16 lines
403 B
Markdown

# neno la Mungu lilimjia
"Mungu alizungumza neno lake"
# niliyo ileta Israeli
"kwamba nili waleta Waisraeli kwenye nchi ya ahadi kutoka Misri"
# hema, hema la kukusanyikia
Yote haya maneno "hema" na "hema la kukusanyikia" ya eleza kitu kimoja na kutia mkazo kwamba aliishi katika jengo lisilo la kudumu.
# Kwa nini haujanijengea mimi nyumba ya mierez?
"Ungenijenga nyumba yenye mbao za gharama."