# neno la Mungu lilimjia "Mungu alizungumza neno lake" # niliyo ileta Israeli "kwamba nili waleta Waisraeli kwenye nchi ya ahadi kutoka Misri" # hema, hema la kukusanyikia Yote haya maneno "hema" na "hema la kukusanyikia" ya eleza kitu kimoja na kutia mkazo kwamba aliishi katika jengo lisilo la kudumu. # Kwa nini haujanijengea mimi nyumba ya mierez? "Ungenijenga nyumba yenye mbao za gharama."