sw_tn/1co/03/16.md

13 lines
417 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Hamjuwi kuwa ninyi ni hekalu la Mungu na kwamba Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?
Paulo anawakalipia Wakorintho: "Mnafanya kana kwamba hamjui kuwa ninyi ni hekalu la Mungu na Roho wa Mungu anakaa ndani yenu!"
# Haribu
"haribu" au "hasara"
# Mungu atamharibu mtu yule,Kwan hekalu la Mungu ni takatifu, na ni ninyi.
"Mungu atamharibu mtu yule kwasababu hekalu la Mungu ni takatifu na ninyi ni watakatifu piaa."