# Hamjuwi kuwa ninyi ni hekalu la Mungu na kwamba Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? Paulo anawakalipia Wakorintho: "Mnafanya kana kwamba hamjui kuwa ninyi ni hekalu la Mungu na Roho wa Mungu anakaa ndani yenu!" # Haribu "haribu" au "hasara" # Mungu atamharibu mtu yule,Kwan hekalu la Mungu ni takatifu, na ni ninyi. "Mungu atamharibu mtu yule kwasababu hekalu la Mungu ni takatifu na ninyi ni watakatifu piaa."