sw_tn/heb/03/intro.md

28 lines
992 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Waebrania 03 Maelezo kwa jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na mpangilio
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Watafsiri wengine wamewaka kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 3:7-11,15, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana muhimu katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Ndugu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Huenda mwandishi anatumia neno "ndugu" kuashiria Wakristo waliokua kama Wayahudi.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifano muhimu za usemi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Fanya mioyo yenu iwe ngumu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Mtu anayefanya moyo wake kuwa ngumu ni yule ambaye hatamsikiliza ama kumtii Mungu. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Maswali ya hadith
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Mwandishi anatumia maswali ya hadithi kama njia ya kuwaonya wasomaji wake. Yeye pamoja na wasomaji wake wanajua majibu ya maswali haya na mwandishi anajua kwamba wakati wasomaji watafikiria juu ya majibu ya haya maswali, watatambua kwamba wanatakikana kumsikiliza Mungu na kumtii.
## Links:
* __[Hebrews 03:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__