sw_tn/heb/03/intro.md

992 B

Waebrania 03 Maelezo kwa jumla

Muundo na mpangilio

Watafsiri wengine wamewaka kila msitari wa ushairi kulia kuliko maandishi mengine ili isomeke kwa urahisi. ULB inafanya hivi na ushairi katika 3:7-11,15, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.

Dhana muhimu katika sura hii

Ndugu

Huenda mwandishi anatumia neno "ndugu" kuashiria Wakristo waliokua kama Wayahudi.

Mifano muhimu za usemi katika sura hii

Fanya mioyo yenu iwe ngumu

Mtu anayefanya moyo wake kuwa ngumu ni yule ambaye hatamsikiliza ama kumtii Mungu. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)

Maswali ya hadith

Mwandishi anatumia maswali ya hadithi kama njia ya kuwaonya wasomaji wake. Yeye pamoja na wasomaji wake wanajua majibu ya maswali haya na mwandishi anajua kwamba wakati wasomaji watafikiria juu ya majibu ya haya maswali, watatambua kwamba wanatakikana kumsikiliza Mungu na kumtii.

<< | >>