sw_tn/gal/06/intro.md

28 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Wagalatia 06 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na upangiliaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Sura hii inahitimisha barua ya Paulo. Maneno yake ya mwisho yanashughulikia masuala ambayo hayaonekani kuwa yameunganishwa na barua yake yote.
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Ndugu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Paulo anaandika maneno katika sura hii kwa Wakristo. Anawaita "ndugu." Hii inahusu ndugu za Paulo wa Kikristo na sio ndugu zake wa Kiyahudi.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Uumbaji Mpya
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Watu ambao wamezaliwa tena ni uumbaji mpya katika Kristo. Wakristo wamepewa uzima mpya katika Kristo. Wana asili mpya ndani yao baada ya kuwa na imani katika Kristo. Kwa Paulo, hii ni muhimu zaidi kuliko ukoo cha mtu. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/bornagain]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/faith]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mwili
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Hili ni suala ngumu. "Mwili" inatofautishwa na "roho." Katika sura hii, mwili pia hutumiwa kutaja mwili halisi. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/flesh]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/spirit]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[Galatians 06:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../05/intro.md) | __