sw_tn/gal/06/intro.md

1.1 KiB

Wagalatia 06 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Sura hii inahitimisha barua ya Paulo. Maneno yake ya mwisho yanashughulikia masuala ambayo hayaonekani kuwa yameunganishwa na barua yake yote.

Ndugu

Paulo anaandika maneno katika sura hii kwa Wakristo. Anawaita "ndugu." Hii inahusu ndugu za Paulo wa Kikristo na sio ndugu zake wa Kiyahudi.

Dhana maalum katika sura hii

Uumbaji Mpya

Watu ambao wamezaliwa tena ni uumbaji mpya katika Kristo. Wakristo wamepewa uzima mpya katika Kristo. Wana asili mpya ndani yao baada ya kuwa na imani katika Kristo. Kwa Paulo, hii ni muhimu zaidi kuliko ukoo cha mtu. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/bornagain]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/faith]])

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

Mwili

Hili ni suala ngumu. "Mwili" inatofautishwa na "roho." Katika sura hii, mwili pia hutumiwa kutaja mwili halisi. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/flesh]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/sin]] and rc://*/tw/dict/bible/kt/spirit)

__<< | __