sw_tn/act/27/intro.md

24 lines
906 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Matendo 27 Maelezo ya jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana muhimu katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Kusafiri Majini
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Watu walioishi karibu na bahari walisafiri kutumia boti zilizosukumwa na upepo. Wakati wa kipindi fulani mwakani, upepo ungeelekea mwelekeo usiyofaa hadi ikawa vigumu sana kusafiri majini.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Uaminifu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Paulo alimwamini Mungu kama atamwezesha kusafiri kwa usalam hadi atakapofika inchi kavu. Aliwaambia mabaharia na wanajeshi kuamini pia kwamba Mungu atachunga maisha yao. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/trust]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Paulo anaumega mkate
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Luka anatumia maneno karibu kuwa sawa na yale aliyotumia kueleza habari ya karama
2021-09-10 19:12:24 +00:00
mwisho wa Yesu pamoja na wanafunzi wake. Alichukua mkate, akashukuru
Mungu na kuumega na kula. Hata hivyo tafsiri yako isimfanye msomaji kufikiria kwamba Paulo alikuwa anaongoza sherehe ya kidini.
## Links:
* __[Acts 27:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../26/intro.md) | [>>](../28/intro.md)__