Watu walioishi karibu na bahari walisafiri kutumia boti zilizosukumwa na upepo. Wakati wa kipindi fulani mwakani, upepo ungeelekea mwelekeo usiyofaa hadi ikawa vigumu sana kusafiri majini.
Paulo alimwamini Mungu kama atamwezesha kusafiri kwa usalam hadi atakapofika inchi kavu. Aliwaambia mabaharia na wanajeshi kuamini pia kwamba Mungu atachunga maisha yao. (Tazama: rc://*/tw/dict/bible/kt/trust)