sw_tn/2co/03/intro.md

30 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 2 Wakorintho 03 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na upangiliaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Paulo anaendelea kujitetea. Paulo anaona Wakristo wa Korintho kama ushahidi wa kazi yake.
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Sheria ya Musa
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Paulo anakumbuka wakati Mungu alitoa amri kumi juu ya vibao vya mawe. Hii inawakilisha sheria ya Musa. Sheria ilikuwa nzuri kwa sababu ilitoka kwa Mungu. Lakini Mungu aliwaadhibu Waisraeli kwa sababu hawakuitii. Sura hii inaweza kuwa vigumu kwa watafsiri kuelewa ikiwa Agano la Kale bado halijatafsiriwa. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/covenant]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/reveal]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifano muhimu ya matamshi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mifano
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Paulo anatumia mifano nyingi katika sura hii kuelezea kweli ngumu za kirorho. Haijulikani kama hii inafanya mafundisho ya Paulo rahisi au vigumu zaidi kuelewa. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Hili ni agano sio la andiko bali la Roho."
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Paulo anatofautisha agano la kale na agano jipya. Agano jipya sio mfumo wa sheria na kanuni. Hapa "Roho" labda inamaanisha Roho Mtakatifu. Inaweza pia kuelezea asili ya agano jipya kuwa ya kiroho.(See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/spirit]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[2 Corinthians 03:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__