Paulo anakumbuka wakati Mungu alitoa amri kumi juu ya vibao vya mawe. Hii inawakilisha sheria ya Musa. Sheria ilikuwa nzuri kwa sababu ilitoka kwa Mungu. Lakini Mungu aliwaadhibu Waisraeli kwa sababu hawakuitii. Sura hii inaweza kuwa vigumu kwa watafsiri kuelewa ikiwa Agano la Kale bado halijatafsiriwa. (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/covenant]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/reveal)
Paulo anatumia mifano nyingi katika sura hii kuelezea kweli ngumu za kirorho. Haijulikani kama hii inafanya mafundisho ya Paulo rahisi au vigumu zaidi kuelewa. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)
Paulo anatofautisha agano la kale na agano jipya. Agano jipya sio mfumo wa sheria na kanuni. Hapa "Roho" labda inamaanisha Roho Mtakatifu. Inaweza pia kuelezea asili ya agano jipya kuwa ya kiroho.(See: rc://*/tw/dict/bible/kt/spirit)