sw_tn/2co/01/intro.md

39 lines
1.5 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 2 Wakorintho 01 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na upangiliaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Kifungu cha kwanza kinaonyesha njia ya kawaida ya kuanzisha barua katika inchi ya kale ya Mashariki ya Karibu.
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Uadilifu wa Paulo
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Watu walikuwa wanamkosoa Paulo na kusema kuwa yeye hakuwa wa dhati. Anawakemea kwa kuelezea nia zake kwa kile alichokifanya.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Faraja
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Faraja ni neno kuu ya sura hii. Roho Mtakatifu huwafariji Wakristo. Pengine Wakorintho walikuwa wanasumbuliwa na walihitaji kufarijiwa.
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifano muhimu za matamshi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Swali la uhuishaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Paulo anatumia maswali mawili ya uhuishaji ili kujitetea dhidi ya madai yasiyokuwa ya kweli. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-rquestion]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Sisi
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Paulo anatumia neno "sisi". Hii inawezekana kuwakilisha Timotheo na yeye mwenyewe. Inaweza pia kuwajumuisha watu wengine.
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Dhamana
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Paulo anasema kuwa Roho Mtakatifu ni dhamana, ambayo ina maana ya ahadi au malipo ya kwanza, ya maisha ya Milele ya Mkristo. Wakristo wanaokolewa salama. Lakini hawatapata ahadi zote za Mungu mpaka baada ya kufa. Roho Mtakatifu ni dhamana ya kibinafsi kwamba haya yatafanyika. Wazo hili linatoka kwa tamko la biashara. Mtu hutoa kitu cha bei kubwa kwa mtu mwingine kama "dhamana" kwamba watalipa pesa zote baadaye. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/eternity]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/save]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[2 Corinthians 01:01 Notes](./01.md)__
* __[2 Corinthians intro](../front/intro.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__| [>>](../02/intro.md)__