sw_tn/rev/05/08.md

21 lines
411 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mwanakondoo
"mwanakondoo" ni mtoto wa kiume wa kondoo. Hapa hutumika kushiria kuwa ni Kristo.
# wazee ishirini na wanne
wazee wanne** -"wazee 24"
# wakainama hadi nchi
Kulala chini kwa kutazama ardhi.
# Kila mmoja
Maana zinazowezekana ni 1)"kila mzee ni kiumbe hai" au 2)"kila mzee"
# bakuli ya dhahabu iliyojaa uvumba ambayo ni maombi ya waamini
Uvumba hapa ni alama ya maombi ya waumini wa Mungu.